Ramoth Gilead Appliances
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,764
- 558
- Thread starter
-
- #581
Hii lg bado ipo??Lg tv 32LP50 - sh 460,000/=
IpoHii lg bado ipo??
Mkuu shukrani nilifanikiwa kupata Stabilizer Jana japokuwa haikuwa ya koditec kama picha ulizopost ila naimani itakuwa iko vizuri tuBravo sounds bar 2033.....200,000/=
Ungeniambia aina unajau Niko na wateja wengi, ntakutumia whatsAppMkuu shukrani nilifanikiwa kupata Stabilizer Jana japokuwa haikuwa ya koditec kama picha ulizopost ila naimani itakuwa iko vizuri tu
Anyway, leo naomba unisaidie picha za blender na tofauti tofauti na bei zake ili nicheki kama naweza kuibuka na yoyote