Aina gani na bei zake zikoje..nahitaji kwa haraka.Ndio ipo
hii kila moja au zote ni 20000Tv na fridge guard sh 20,000/=
Kila moja@ elfu 15,000/=hii kila moja au zote ni 20000
Kama uko dar unaletewa mzigo unaotaka unatestiwa ndo unalipa ndo wateja wetu wengi tuliowahudumia tunafanya hivyoWakuu naomba ushuhuda kwa yeyote aliyewahi kununua Kwa Hawa ndugu
Mimi niliwahi kununua jiko kubwa la gesi la plate 4. Wanakuletea mpaka nyumbani wanakufungia wanatest ndio unalipa hela. Utapeli kwa hawa jamaa ni kama hauwezekani.Wakuu naomba ushuhuda kwa yeyote aliyewahi kununua Kwa Hawa ndugu
Ndio tupo kariakoo msimbazi ukifika nipigieNaihitaji hii blender mkuu. Utaratibu ukoje?
Kama mko Kariakoo au sehemu yo yote hapa Dar, naweza kupita dukani kwenu na kuichukua live?
Nijibu pulizi [emoji1545]
Mbona mimi sijibiwi, au mimi tapeli, nataka feni za juu (ceiling fan) nilitaka mnipe aina zilizopo na bei zake. Nataka kwa haraka!Ndio tupo kariakoo msimbazi ukifika nipigie
0713520180
Samahani sana ipo Ailyons 95,000/=Mbona mimi sijibiwi, au mimi tapeli, nataka feni za juu (ceiling fan) nilitaka mnipe aina zilizopo na bei zake. Nataka kwa haraka!
Double glass unamaanisha nini?
Ina vioo viwili kwa hiyo kioo chake ni kigumu kuliko single glassDouble glass unamaanisha nini?