Ramoth Gilead Appliances
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,764
- 558
- Thread starter
-
- #1,161
Android tv ndo ya kwanza kuwa launched and then ikaja google tv, kwa lugha nyepesi google tv ni upgrade ya android tvnaomba kufahamu utofauti wa google tv na android tv.
google tv ina play store ambayo unaweza ku download app na ku install?Android tv ndo ya kwanza kuwa launched and then ikaja google tv, kwa lugha nyepesi google tv ni upgrade ya android tv
Google tv inakupa personalized features while android tv haikupi hio option ndo utofauti uliopo
Google tv ni advanced version ya android tv lazima iwe nayogoogle tv ina play store ambayo unaweza ku download app na ku install?
Sijaelewa, soral kwa namna gani yaani hili friji linatumia mionzi ya jua?!Solar freezer sh 750,000/=
L150
Dah ila mchina mbwa huyu anajua kutupatia wafrika, anatuletea bidhaa ambazo tunakosa hata sababu ya kuzikataa MUNGU abariki sana wachina kwa kuturahisishia maisha.Solar freezer sh 750,000/=
L150
Bruhm, boss, lg, mr uk n.kFriji mnazo brand gani zaidi ya Hisense? Halafu naomba kujua kama kuna friji feki za Hisense madukani. Hii ya kwangu nilinunua ikaanza kusumbua tokea wiki ya kwanza na mafundi wamekuja zaidi ya mara 6 hadi warranty inaisha lakin bado friji ni mbovu inamwaga maji chini nimeamua kuiacha kama ilivyo. Hisense ni brand mbovu sana kwa upande wa friji.
Hisense sinunui tena. Haiingii akilini friji brand new inahitaji fundi ndani ya wiki.Bruhm, boss, lg, mr uk n.k
Hisense pia ni nzuri inategemea katika friji mia mtu anazo agiza tano kati ya hizo utakuta ni mbovu
Wakati unanunua unakutana na hizo mbovu inakua ni bahati
Lakin pia kuna brand za hisense ni fake na unapewa mpaka warranty lakin original hio ndo changamoto iliyopo sokoni
Hivi hizi tv za rising Zina ubora kweli??
ZinazoHivi hizi tv za rising Zina ubora kweli??
Uchaguzi ni wakoHisense sinunui tena. Haiingii akilini friji brand new inahitaji fundi ndani ya wiki.
ZipoPasi vpi