Ramoth Gilead Appliances
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,764
- 558
- Thread starter
-
- #1,281
Hii ndio BongoWanajua maana ya neno warrant hao jamaa? Au wanaandika tu?!
Waambie nitakwenda kuwashitaki mahakamani mtafunga hili duka. Wakupatie friji nyingine ama sivyo warudishe pesa ukanunue friji mpya duka lingine.
Kaunda Sufi za kuvaa ukibeba fridge.Kuna boya anatafutwa hapa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali na atapatikana tu kwasababu watanzania hatujifunzi.
mrangi