Ramoth Gilead Appliances
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,764
- 558
- Thread starter
-
- #1,361
Nakukubali sana jamaa yangu kwenye kuitangaza biashara yako, nafrahi kila nikiona umetupiapo tangazo la tv, natamani kununua ila umbali ndo naona unanipa ugumu.Solstar inch 43 smart sh 520,000/=
Tunafanya delivery ndo unalipa
Call/WhatsApp-0713520180
Uko mkoa gani kwaniNakukubali sana jamaa yangu kwenye kuitangaza biashara yako, nafrahi kila nikiona umetupiapo tangazo la tv, natamani kununua ila umbali ndo naona unanipa ugumu.
Ni mbali changamoto ya cargo za kanda ya ziwa wanacharge bei kubwa sanaNipo katoro geita Mkuu.
Sawa mkuu, japo bei zenu kwasasa hazitofautiani sana na hapa katoro, ila post zako zinanifanya nijue pia bidhaa zipi ni bora na bei yake pia.Ni mbali changamoto ya cargo za kanda ya ziwa wanacharge bei kubwa sana
Ni vizuri first option ikawa mwanza ukikosa kabisa mwanza ndo uje dar kama last option
Tumia website yaoWazee mbona picha kupitia Application ya jf hazfungukiView attachment 2660367