INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

UMEME
Ndogo sh 800,000/= pipe moja metres 10, mtu mmoja

Kubwa sh 1,370,000/= pipe moja metres 10, mtu mmoja pressure yake ni kubwa kuliko ndogo

MAFUTA
Petrol sh 750,000/= pipe moja metres 10, litres 1 masaa mawili

Disel sh 1,570,000/= pipe moja metres 10, litres 1 masaa 2 na nusu
 
Hisense chest freezer

Hisense H125 white lita 97 sh ~460,000/=

hisense H125 silver lita 97 sh 480,000/=

Hisense H175 white lita 142 sh~570,000/=

Hisense H175 silver lita 142 sh~600,000/=

hisense H 245 lita 198 sh 650,000/=

Hisense H254 lita 198 sh*~660,000/=

Hisense H 320 lita 249 sh*800,000/=

Hisense H440/400 lita 310 sh *~860,000/=

Hisense H550 lita 420 sh ~1,200,000/=
 
Refrigerator:
Lg GC- B369NLJM (ni bottom freezer)
naomba kufahamu gharama yake mkuu!
 
Unazo cooking ovens... Ambazo unaweza kuBake cakes au kuRoost meat and as such?
 
BrandBOSS Brand Refrigerator
ModelBS-145 Silver
Capacity138 LTRS
Size (HxDxW)130CMx48CMx49CM
Sh 600,000/=
 
Kuna boya anatafutwa hapa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali na atapatikana tu kwasababu watanzania hatujifunzi.

mrangi
Mimi hua nanunua vitu toka kwa franchisee (MTU aliyepewa rights za kuuza trade mark ya mtengenezaji) Franchisee wanatoa guarantee za uhakika.

Sasa unapoona Kuna MTU anauza kitu kwa Bei nafuu zaidi ya franchisee Kama una akili lazima ustuke.

Unaweza kununua m tiivii inch 75 kwa Bei ya Samsung og inch 43 baada ya world cup iko kwa fundi. No. I will buy from a franchisee.
 
Hao wenye franchise wanawapa watu kama sisi bei za jumla ili mizigo Yao iishe mapema Kuna kitu hujui kuhusu soko, mim nikienda Samsung, LG, Hisense au any brand Bei ntakazopewa ni za jumla ni tofauti na wewe

Wafanyabiashara wote huwa tubapewa bei za jumla, mzigo ukija wote tunapewa Bei za jumla kwanin wanafanya hivyo ili mzigo huwahi kuisha sababu kuchelewa kuisha ni hasara, baada ya kupewa bei ya jumla kila mtu anaongeza kivyake wengine wanatafuta profit ndogo, wengine kubwa n.k

Mfano Hisense inch 43 smart 4k ukienda kwa authorized dealers Bei yake ni almost 100,000/= kwetu sis ni 700k+ kwa mtu wa Kawaida automatic atakuja kwetu sis

Na kuhusu ubora wa bidhaa uko wazi swala sio bei, unaweza uziwa kitu bei ghali na bado ukawa umepigwa vilevile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…