INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

SAMSUNG*
32(smart )@.......440,000/=
40(Kawaida).....580,000/=
40(smart).........650,000/=
43(smart)@........750,000/=
 
Original ina warranty ndani na namba ya warranty inaendana na box
Sio original haina warranty ndani
Asante sana kwa ufafanuzi.

Baadhi ya wabongo wanaweza kutengeneza hiyo warranty labda uchukue hiyo namba ujaribu kuingia website ya Hisense kuhakiki kama hiyo kitu ya kuhakiki wanayo.

Nimeshaona maboksi 3 tofauti ya TV ya Hisense, ngoja niyatafute niyaweke hapa
 
Cha ajabu zile ambazo hazina warranty yaan sio original ndo hazinaga return nyingi ni nadra sana kuwa na return
Tofauti na zile zenye warranty zina return nyingi sana
 
Cha ajabu zile ambazo hazina warranty yaan sio original ndo hazinaga return nyingi ni nadra sana kuwa na return
Tofauti na zile zenye warranty zina return nyingi sana
Sijakuekewa mkuu ulipotumia neno RERURN.

Kwamba zinasumbua wanazirudisha kwenye maduka?
 
Hivi ukiwa na 200,000 hivi huwezi kupata kafriji hata kakukaa soda 3 na maji manne?
 
HISENSE SMART 4K INCH 75 SLIM ULTRA
NIME KWAMA JAMANIIII NJOO UKAGUWE CHAP UONDOKE NAYO NIMESHUSHA BEIII IMETUMIKA MIEZII 3 IMENYOOKA HAINA KIPENGELE CHCHOTE HIZO PICHA TU ZA SIMU ILA UKIIONA LIVE NDO UTAKUBARIII YANII HUPINGII KAMA HAUTO IKUBALII BELIEVE ME NAKUPA PESA YA NAULII YA USUMBUFU NJOO UKAGUWE BEIIII NIMESHUSHA M2.5 NI CHECK TUMALIZANE LOCATION KIGAMBONII 0762407301View attachment 2707890View attachment 2707891View attachment 2707893View attachment 2707892
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…