Mawasiliano ya cargo tunazotumiaga wapigie watakuelekeza ofisi zao zilipo kwenye mkoa husika, na bei za kutuma mizigo
0754 775 339 look man cargo; singida igunga, nzega, shinyanga, na mwanza
0754 418 785 Tuwajali cargo; mbeya na tunduma
069 392 1212 Raqeeb cargo; moshi na arusha
0782 063 801 Rukwa cargo; sumbawanga
065 826 8744 Zanil cargo; mahenge, ifakara, na kilombero
065 222 2298 cargo; Tabora, sikonge na katavi.
0753 911 415 Kamwene cargo; iringa, makambako, na songea
068 656 5957 Ngunda logistics; nzega, igunga, na kahama
0775 909 090 Aifola cargo; kaliua na kigoma
0762 082 141 Morogoro mjini
0755 922 407 Masoud cargo lindi na mtwara
Kwa walioko DSM na kibaha tuna delivery unakagua mali ndo unalipa