INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

Yani mzigo mkubwa namna hii halafu hana ofisi! Au mimi sijaelewa?

Inshu sio kuwa tu na Ofisi bali kila picha anayoiweka anasahau kuwa kuna watu wana ufahamu Juu ya hizi picha.
anapost SCREENSHOTS kuwa ndiyo bidhaa zake.
Yaani upige picha kwenye maduka ya watu kisha ufanye Editing alafu upost kuwa ni mali yako.

Natoka kuongea kuna rafiki yangu amelizwa 1.5M kisa simu za bei nafuu wauzaji wa ZNZ.
Ifike sehemu tuone hata aibu kumuibia mwenzako kwa sababu haujui ameipata vipi hiyo hela kwa shida hivyo Jamani.

Na sisi watanzania sijui nani katuroga yaani ukiona bei imeshushwa tu unahisi hilo ni dili
 
Ndio napost screenshot kwani Kuna ubaya ndugu, nakupa ruhusa njoo kariakoo uone duka mkuu tusiandikie mate na uino upo

Kama ningekua natapeli watu ungeona malalamiko huku ya watu kutapeliwa
 
Ndio napost screenshot kwani Kuna ubaya ndugu, nakupa ruhusa njoo kariakoo uone duka mkuu tusiandikie mate na uino upo

Kama ningekua natapeli watu ungeona malalamiko huku ya watu kutapeliwa
Mim mteja akitaka kununua kitu kwangu Nampa option zifuatazo

Aje au atume mtu aje na hela na aone kitu anachotaka kununua, nimletee alafu ndo anipe ela na option ya mwisho kama ananiamin antumie hela
 
Ndio napost screenshot kwani Kuna ubaya ndugu, nakupa ruhusa njoo kariakoo uone duka mkuu tusiandikie mate na uino upo

Kama ningekua natapeli watu ungeona malalamiko huku ya watu kutapeliwa
achana nao hao mkuu mtu umeelekezwa duka lilipo na risit umeambiwa utapewa bado jitu linakuja kuita utapeli
 
hawajui kkoo watu wanapewa mizigo mali kauli na matajiri wenye viwanda sijui ndio hao mafrancise wanawapa wenye maduka waaminifu mizigo wawauzie kama mlipaji unaachiwa hata kontena 3
 
hawajui kkoo watu wanapewa mizigo mali kauli na matajiri wenye viwanda sijui ndio hao mafrancise wanawapa wenye maduka waaminifu mizigo wawauzie kama mlipaji unaachiwa hata kontena 3
Na ndo hivyo tunaishi na kunawatu hawana duka Ila Wana store Ila wanauza sana, lazima watu waishi kwa Mali kauli kwa sababu mtaji watu hawana kikubwa ni uaminifu mtu usiwe tapeli Iko ndo Cha muhimu
 
Tracker zake je unazo maana siku hizi wezi wamezidi
 
🌟🌟Samsung inverter ac🌟🌟

Samsung Ac 12k btu 1,150,000/=

Samsung Ac 18k btu 1,500,000/=

Samsung Ac 24k btu 1,850,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…