Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Wajasiriamali wanaotesha miti pembeni mwa mto na kuuza kwa watu wanaoenda kupanda maeneo mengine huku pembeni mwa mto miti yote imekatwa huoni huo ni uharibifu wa mazingira na kuhatarisha afya za watu lakini pia kusababisha mabadiliko ya tabia nchi ambapo madhara yake ni mtambuka? Zamani mto huo ulikuwa na maji yanatiririka mwaka mzima na kama maji yakipungua unyevunyevu uliendelea hadi msimu mwingine wa mvua. Mto huo unatokea Kisarawe na ndio tegemeo kubwa kufanya pori la akiba la Mabwepande kuwa endelevu vinginevyo kuna siku msitu huo utaingiliwa kwa nguvu na wananchi ili kupata maeneo ya kujenga.Unataka tozo liongezeke ww..kaa kimya hivo hivo