INAUZWA IPC-A35 ni cctv camera iliyo na uwezo wa kutumika kama simu

INAUZWA IPC-A35 ni cctv camera iliyo na uwezo wa kutumika kama simu

Mr Black Minzi

New Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Hii camera IPC-A35 3MP-WIFI-PTZ
ina uwezo wa kuzunguka 360 pia unaweza kuizungusha kwa kutumia simu yako ya IOS/AOS popote utakapo kua hata nje ya nchi, pia unaweza itumia kuongea kama simu na unae muona ila yeye hatakuona lakini atakujibu kama kawaida unavyo tumia simu, hii inachukua nafasi ya simu kwa wadada wa kazi ila tu yeye hawezi kukupigia, pia inatunza matukio yote, (video) inazo record, ni cctv nzuri sana kwa matumizi ya nyumbani, ofisini, dukani hasa maeneo ya ndani, na tunaiuza kwa bei rahisi sana kwa Tshs 315,000/= pia tunazo camera aina nyingi kama PTZ dome, Drone, na vifaa vingine kama NVR, DVR, PoE, CAMRA INDOOR NA OUTDOOR zote tunauza kwa bei ya chini,

unaweza tembelea Dahua Technology - Leading Video Surveillance Solution Provider with CCTV Products, IP Camera, PTZ, HDCVI products, NVR, Intelligent Building, Intelligent Transportation and Software - Dahua Technology chagua unacho penda kisha niulize kupitia no +255 766 450 002 au Whatsapp +1 610 569 5997, pia ukihitaji kufungiwa cctv camera popote ulipo Tanzania na Kenya tupigie tutakufungia
Karibuni sana

IPC-A35 3MP-WIFI-PTZ
IPC-A35.png

3MP A Series Wi-Fi Network PT Camera
> 1/3” 3Megapixel progressive CMOS
> H.264& MJPEG dual-stream encoding
> 20fps@3M(2304×1296)&25/30fps@1.3M (1280×960)
> 0°~355° Pan range, 90°Tilt range, 25 presets
> IR Diatance 10m
> Easy4ip cloud support
> Wi-Fi Support
> Micro SD card slot, up to 128GB
> DC5V2A

CALL +255 766 450 002
+255 693 285 188
Whatsapp +1 610 569 5997
email dahuatanzania@gmail.com
Office/shop; City Mall 2nd Floor, S12
Bibi Titi Juction And Morogor Rd Dar es salaam.

kwa watakao fika offisini watapata punguzo zaidi la bei
 
Hayo maandishi ya rangirangi,kwa wengine yanatupa shida.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Back
Top Bottom