Ipe maneno hii picha hapa nini kinaendelea????

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075

Maana hapa hata Michel anaonekana kushangaa pamojana Oprah!!Hapa Obama mimi sija muelewa au????
 
Mi mwenyewe nashangaa!!! kumbe OBAMA anatabia za DAVID CAMEROON!!
 
Hii si kweli kabisa adobe Photoshop application imefanyika hapa! Tungekuwa tumesikia hata tetesii
 
Teknologia ya picha sasa hivi iko juu sana! Kuna jamaa alipelekewa picha yake akiwa amelewa huku amejinyea kumbe ni picha ya kutengenezwa kwenye Computer!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…