Ipe maneno picha hii

Dogo sikia, piga kazi huko Hai - hakikisha jamaa wote umewasambaratisha kabisa - mimi hapa bongo ni mwendo mdundo si unanisikiaga mavitu zangu?
 
^Sikia Mh. Sabaya. Hata usiku uonekane mrefu kiasi gani, kutakucha tu. Umetanda mengi mazuri kwa faida ya taifa letu. Hai imechipua maendeleo na nidhamu kwa ajili ya utendaji wako usiku na mchana. Usife moyo. Haya ni mapito tu. Wasiokupenda sasa wanatawala. But fursa yako nyingine ya utendaji bora zaidi inakuja. Hatujakusahau na kamwe hatutaweza kukusahau!!!

^Nasema haya yote nikiwa na experience ya maisha yangu mimi mwenyewe. Nilistaafu Ukuu wa Mkoa, ubungu kura hazikutimia, lakini maisha yanaendelea, na jinsi kunavyokucha kwa wengine likewise kunakucha kwangu.

^Kumbuka maneno bora kabisa ya JPM: The heroes are not normally recognized immediately; often it happens later on in their life or even posthumously^
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…