Ipe maneno picha hii

Kuchafuana kwa kitoto sana
Haya weka na ile aliyovaa taulo kwa mama mwajuma usisahau na ya Lisu
 
Mwanamke Nguo nyekundu; Mwamba muamala umesoma, Gia angani 2015 imelipa in 2025!

“Kaka” Freeman; (tabasamu la kukata na shoka)…niliwaambia lazima jamaa watume, hatimaye “long walk to freedom” imelipa! 😊

Mwanamke Miwani nyeusi; Mwamba umecheza sana this time kikosi cha ulinzi, kwenye nyayo za Gaddafi.
 
Mwana CCM wa Lindi,akibadilishana namba na mwana CCM mpya wa Machame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…