kwanini mnavunja sheria nyie madereva na abiria?
nyie abiria kila kukicha mnalalamika madereva eti ni wazembe kumbe nyie ndio mnawadekeza,kwanini mmepanda ivi mishkaki?na hamna helmeti??tena mmebeba na muzigo huo?
apa hakuna msamaha,isije kuwa muro anapiga picha hamfai kabisa nyie!
aya dereva twende kituoni
😉