Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,039 Reaction score 7,465 Apr 11, 2010 #41 mnahatarisha maisha ya haya makuku............reta rikuku rimoja nikagonge supu na chapati!
K Kifuna JF-Expert Member Joined Aug 7, 2008 Posts 442 Reaction score 118 Apr 11, 2010 #42 Hivi nyie mna wazimu? ndo mnacheza mchezo gani? Punguza mtu mmoja na kuku!
K Kibs Member Joined Apr 12, 2010 Posts 13 Reaction score 9 Apr 12, 2010 #43 Haipendezi kabisa kupanda pikipiki namna hii. Wote hawana helmet
M MpendaTz JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 2,217 Reaction score 927 Apr 12, 2010 #44 Wewe! unashangaa nini anza kufungua kuku wawili haraka! (....kichwani anawaza, mmoja wa afande na mmoja wangu)
Wewe! unashangaa nini anza kufungua kuku wawili haraka! (....kichwani anawaza, mmoja wa afande na mmoja wangu)