Ipe neno lako picha zangu za leo you’ll be surprised once you find out what this lioness did when it found a baby deer

My friend don't tell, is this Hollywood animal movie or reality?
I think Hii ni Queen Lioness movie clip from Disney park
Baada ya ya Ile king Lion!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hujawah kuona paka analelewa na mbwa?
 
I doubt kama ni kusafisha considering haonekani kama ana ubichi wa kutoka kuzaliwa.

Nafikiri simba alikua anammark kwa kumlamba na kumuachia harufu yake ili kwamba simba au predator yeyote ajue kwamba hii ni mali yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…