makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Oct 6, 2022 #1 Ndugu zangu nimekuja kwa niaba ya ndugu yangu. Ndugu yangu(rafiki wa dhati kabisa) kakwama, kanikuta nduguye niko dhohoful hali kiuchumi. Tatizo hili ni kama langu, mnisaidie ndugu yenu. Tunauza hiyo simu, imenunuliwa mwaka jana tu. Hata mtu akitaka kwa bondi zipo simu(hii na s9), tv hata kadi ya gari nitaweka. Simu ni Iphone 12 pro max 256gb 0659445718 Bei milioni 2 Bh 95% Full boxed
Ndugu zangu nimekuja kwa niaba ya ndugu yangu. Ndugu yangu(rafiki wa dhati kabisa) kakwama, kanikuta nduguye niko dhohoful hali kiuchumi. Tatizo hili ni kama langu, mnisaidie ndugu yenu. Tunauza hiyo simu, imenunuliwa mwaka jana tu. Hata mtu akitaka kwa bondi zipo simu(hii na s9), tv hata kadi ya gari nitaweka. Simu ni Iphone 12 pro max 256gb 0659445718 Bei milioni 2 Bh 95% Full boxed