iPhone 17 Pro Max tusiichukulie poa likija swala la camera!

Kama comparison zinafanywa hapa duniani kila siku na flagships nyingi zinaonekana kuwa same league na iPhone 17 Pro Max kwenye camera then flagships nyingi zingetumika nazo zingetoa picha nzuri hivyo hivyo tu
 
Nimetumia simu nyingi sana android kwa ios nimeishia kwenye 14 pro max itoshe kusema iphone camera yake ni premium sana na video zake kwa ujumla zipo premium sana.

Natumia samsung s23 kwa sasa.
Napata features mingi sana mixer chaji inakaa lakini,nitarudi kwenye iphone soon tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…