Iphone 3Gs For Sale

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
3,444
Reaction score
265
Nauza Iphone 3Gs. Original From USA. Tuwasiliane kupitia Inbox humu ndani. Nitakuwepo Dar Mwezi ujao.

Simu nimeitumia kidogo, ila haina Mkwaruzo hata kidogo. yaani inaonekana mpya kabisa. Ina screen protector pamoja na Glossy cover, charger na hearpiece
Nitashukuru kama tutawasiliana humu na pia unipe namba yako kwenye inbox ukiwa na interest.Kadhalika weka offer yako.....Zingatia hii ni original iphone siyo ya kichina . Will only deal with Cash... hakuna cha kuniletetea hela kesho

Thanks
 
BEI GANI WEKA BEi TUWE NA INTEREST YA KUKU-PM
 
Sema bei hadharani dugu mambo ya kuanza kupiga simu au kutuma PM ni kupotezeana muda,unaogopa nini kutamka hiyo bei
 

Wewe sema bei, mbona mikogo kibaao wakat haujasema hata bei ya bidhaa!
 
Una maana gani kuwa sio ya kichina nInayo Nokia nilinunua New York na ni ya hali ya juu na pia hizo I phones vifaa vyake vinatengenezwa China,tatizo ni wafanyabiashara wa kibongo hupenda kutoa order ya vitu vya SIDO waendapo China
 
Bei ndio kila kitu kaka ndio itaweza kuonyesha kama mtu ataweza
 
unaposema sio ya kichina unamaanisha nini vile?
je ni aslimia ngapi ya bidhaa za kichina kwa sasa zinauzwa USA kutoka China??
una uhakika wa hiyo simu haijatengenezwa China?
Mbona siku hizi kuna makampuni mengi tu makubwa ya electronics yamehamishia makampuni na viwanda vyao China kwa sababu ya cheap labor cost? au hulijui?
vyote vinatengenezwa China na kusafirishwa kokote kunakotakiwa
tutolee ushamba wako kamahulijui hilo pole sana
Nenda Wall Mart ,je ni aslimia ngapi ya bidhaani kutoka China? au nal hulijui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…