Phone4Sale iPhone 6+ inauzwa kwa bei nafuu kabisa

mindme

New Member
Joined
Apr 6, 2020
Posts
3
Reaction score
7
Habari za jioni wapendwa,

Karibu ujipatie simu ya iphone kwa bei nafuu kabisa, simu ni moja tu na ni used. Haijapasuka wala kukwaruzika pahala na camera yake ni matata.

Simu bado ni nzima kabisa haina tatizo la aina yoyote.

SIMU: iphone 6+ (inauzwa pamoja na earphones zake) haina charger wala cover

UKUBWA: 128gb

BEI: 400,000/-Tshs tu.

Kwa mawasiliano zaidi piga au whatsapp kwenye number, 0753 951520

Wahi mapema ujipatie simu kwa bei ya kutupa.

Bei ni Fixed.

Karibuni Sana.






 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…