INAUZWA Iphone 6plain inauzwa

INAUZWA Iphone 6plain inauzwa

black chinese

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
1,148
Reaction score
1,228
64gb, no scratch no dent
Ina wiki mbili tangu itoke Dubai
Alikuwa anaitumia binti wa mfalme wa uarabuni
Ipo Mbagala.. kariakoo unaletewa
Unapewa na chaja yake
Bei 250k, wa 200k msinitafute
Piga 0715 193810
Sisomi meseji
IMG_1096.png
 
64gb, no scratch no dent
Ina wiki mbili tangu itoke Dubai
Alikuwa anaitumia binti wa mfalme wa uarabuni
Ipo Mbagala.. kariakoo unaletewa
Unapewa na chaja yake
Bei 250k, wa 200k msinitafute
Piga 0715 193810
Sisomi mesejiView attachment 1993563
Hyo 6 plain kuna dogo yupo pre form one anaitumia kupigia hesabu kama calculator twisheni kwao
 
Nimegundua Iphone 6 zinauzwa sana mwaka huu sijui kwanini

Miaka miwili nyuma hizi simu zilikuwa adimu sana kuzishika.. siku hizi bei imeporomoka, wengi wamezikimbilia kisha wakaziona za kawaida kama samsung tu, ndo maana wanarudi kwenye laini 2 walizozoea
 
Miaka miwili nyuma hizi simu zilikuwa adimu sana kuzishika.. siku hizi bei imeporomoka, wengi wamezikimbilia kisha wakaziona za kawaida kama samsung tu, ndo maana wanarudi kwenye laini 2 walizozoea
Vp kiwango chake cha kukaa na moto? camera quality ikoje?
 
Back
Top Bottom