Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Ipo kipawa uwanja wa ndege price 400k haina tatizo lolote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Huna ela tafuta pesa uache makasiriko.Ukiuza hiyo sm uje unipige mawe nife niko hapa nimekaa [emoji23][emoji23]
Mwambie akupe hiyo 120k ukamletee 😂😂Umemtajia bei kubwa hapo ni 120k iphone used zimeshuka bei sana
400k unapata used 7+/8+ sometine mpk X ambayo haina face id unapata
huu ni ukweliUmemtajia bei kubwa hapo ni 120k iphone used zimeshuka bei sana
400k unapata used 7+/8+ sometine mpk X ambayo haina face id unapata
Kwangu ni dhambi kununua simu used, sijui kwa wengine, ila wapo mazwazwa kibao wanaoshobokea hizo simu utapata mtejaIpo kipawa uwanja wa ndege price 400k haina tatizo lolote.View attachment 2270827View attachment 2270828
Wakati anakuua kwa mawe akurekodi ili tuamini na apost hapa 🤣🤣🤣🤣 vijana mmekuwa wa HOVYO sanaUkiuza hiyo sm uje unipige mawe nife niko hapa nimekaa [emoji23][emoji23]
Nimeshakula pesa kitambo400 ni bei ya 8 au 7+
Hiyo kwa 400 ni ngumu kupata mteja humu Bei ya sokoni ni 200k
😂😂😂 mkuu Nina 200k 6s plus 128 go gb naomba uniletee leo hii.400 ni bei ya 8 au 7+
Hiyo kwa 400 ni ngumu kupata mteja humu Bei ya sokoni ni 200k
Sawa, wewe unamiliki simu gani?sasa kama unauza i6 400k hyo 12pormax utauza bei gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zimechoka hzo ndo maana zinalipuka lipuka hovyo
Niliuza mkuuVipi ulipata mteja!?