Phone4Sale Iphone 6s 128 gb inauzwa

Umemtajia bei kubwa hapo ni 120k iphone used zimeshuka bei sana
400k unapata used 7+/8+ sometine mpk X ambayo haina face id unapata
Mwambie akupe hiyo 120k ukamletee πŸ˜‚πŸ˜‚
 
400 ni bei ya 8 au 7+
Hiyo kwa 400 ni ngumu kupata mteja humu Bei ya sokoni ni 200k
 
Ukiuza hiyo sm uje unipige mawe nife niko hapa nimekaa [emoji23][emoji23]
Wakati anakuua kwa mawe akurekodi ili tuamini na apost hapa 🀣🀣🀣🀣 vijana mmekuwa wa HOVYO sana
 
sasa kama unauza i6 400k hyo 12pormax utauza bei gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zimechoka hzo ndo maana zinalipuka lipuka hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…