Kwa ujumla hakuna, karibia software au service zote utakazoziona online za kuondoa icloud lock ni wizi tu utalipa lakini haitoi chochote. Apple wamekazana sana hii kitu isiweze kutolewa.hivi hakuna software amabayo inaweza kucler cell zote za data ili kuondoa every thing
Kipindi na nanunua ilikuwa tayari inashakuwa unlocked so usiwe isheep kiulinzi ipo poa lakini sio kwamba huwezi kubypassKwa ujumla hakuna, karibia software au service zote utakazoziona online za kuondoa icloud lock ni wizi tu utalipa lakini haitoi chochote. Apple wamekazana sana hii kitu isiweze kutolewa.
Nashangaa wanasema Kariakoo inawezekana nadhani labda wana uzoefu na Android, iPhone ni tofauti, anyway kama hakuna malipo bila mafanikio unaweza kujaribu KKoo.