Phone4Sale Iphone 7 plus Mpya

Kwakweli ni sim poa sana hiyo mkuu, naona screen yake ni kubwa na kasim kana rangi ya blue bahari safi kabisa.

Hapo naona kamera pia imetulia ina megapix kubwa, na ram ipo vizuri sana.

Sio mbaya mkuu, naona hata hapo ulipo (Runzewe) panafikika kirahisi.....😊
 
nani huyo yuko Runzewe..??😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…