laki 5 chukua fasta, kesho weekend
Ukijumlisha na namba ya simu ya huyo bibiye hapo pembeni bei itakuwa sh. Ngapi.
Wale wapenzi wa simu apple. 1.5M nikusogezee hii simu na kila ktu chake na makava yake. Na ni mpya kabisa sio refurbreshed zile za china zilizojaa kkoo. Hii mpaka na resit yake ya manunuzi kutoka kwa authorised deal wa hapa tz nipo nayo.
View attachment 1063066View attachment 1063067View attachment 1063068View attachment 1063069
Sent using Jamii Forums mobile app