Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Labda mabosi wa ccm jinsi ya kufanya waendelee kubaki mpaka yesu anarudiUkipewa nafasi ya kukaa meza moja na mabosi wa Apple utaweleza nini ili waboreshe products zao?
Watanunua kwa ajili ya type C. Utasikia wanasema type C ya iphone ni ya aina yake, nzuri sana wakati sokoni zipo miaka 6 iliyopita. Ni kama vile kipofu, siku akiona anajiona yeye tu ndie amewahi kuona.Makondoo yatanunu.Camera jamani .Yaani wenye akili wala hawatanunua. Watabaki na 14 pro max.
Tusubiri Samsung mwakani atatuletea vitu vya maana. Kila mwaka huja na vitu vya maana.Sidhani kama kuna kipya tena kwenye matoleo ya simu kwasasa
Makondoo yatanunu.Camera jamani .Yaani wenye akili wala hawatanunua. Watabaki na 14 pro max.