iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

mkuu ukiletewa hiyo unifowardie hiyo unayotumia sasa hivi[emoji1787][emoji1787]najua hujaichubua hata kioo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa yaani bado iko kama mpya.

Nitai trade in. Trade in value yake ni $250.00.

Sijui ni kiasi gani kwa shilingi zetu.
 
Sijawahi kuipenda I4ne. Heri nibaki na kiswaswadu.
 
Kwa nini hizi nyuzi za kulalama juu ya maamzi ya matumizi ya simu huwa yanaanzishwa na android user na sijawahi kuona iOS user wanalalama juu ya android user😀.

Kuna shida mahali na watumiaji wa android sio bure, na shida yenyewe ni "Inferiority complex",.
Hili jambo la simu ni sawa na mke, unakuwa nae wako black lakini unamezea mate cheupe au uane flat screen unamezea mate mwenye chogo🙂. Acheni watu watumie vile wanavyotaka hata kama wamekopa kikubwa roho zao zimerizika wewe endelea kutumia hiyo tecno ili uonekane una pesa ila hupendi kujionesha auhupendi anasa lakini ukweli unao mwenyewe.
 

huwezi ona mtumiaji wa IOS analia sababu ataonekanaje??
ni sawa na demu anayeamua kuvaa highhills halafu ajisikie maumivu ya kucha kwenye harusi,atakaza tu.

kitu unachotakiwa ujue ni kwamba walalamikaji wengi,ni wale watu wasiopenda kuishi na simu moja.anatafuta radha tofauti.
hivyo alipita IOS akaona ya kuyaona.

ndio maana jibu kutoka kwa iphone users huwa ni simple tu"usitegemee ios iwe kama android"hiyo ni sentensi maarufu.
 
Watumiaji wa iPhone mara nyingi ni malimbukeni...huwa wanajisikia sana kwamba wapo daraja la juu.....mimi ninakaa na mtu anayetumia iPhone huwa ananisumbua sana Apps nyingi hawezi kudownload kwake
 
iPhone ni za hovyo sana...sema wamiliki wakishaibiwa wanashindwa kubadilisha ili wasionekane wamechoka...mimi binafsi sijaielewa kabisa hata nikipewaga kama zawadi nami naigawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…