iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...


Sawa, ukishakubali kutumia iphone kubali gharama me nalipia huduma ya apple music burudan nayopata naona hta hio pesa kama ndogo hv
 
Hyo Apple Music
Ina nyimbo za kibongo
Ina Videos pia au ni audio tuu
Unadowloqd Unlimited?
Ukiacha kulipia Downloaded Content zinafutika?
Kwa Mwezi bei gani?
 
Chukua X ya 64gb inakutosha kama ni mtu wa mapicha na mavideos sana chukua 256gb. Kabla hujadaka njo nkupe hints za kujua kama iphone ni mpya au refurbished na chukua version ya UK/US. Nikupe na maujanja ya kustream ngoma kali na kudownload.
Mkuu lete maujanja ya ku download music kwenye iPhone [emoji336]
 
Hyo Apple Music
Ina nyimbo za kibongo
Ina Videos pia au ni audio tuu
Unadowloqd Unlimited?
Ukiacha kulipia Downloaded Content zinafutika?
Kwa Mwezi bei gani?

Zipo mkuu kwa baadhi ya wasanii ila bongo wengi wasanii wakubwa unawakuta apple music, una download kwa offline, ukiacha kulipia hazifutiki bossy kwanza unapewa 6months free kwanza afu utadecide mwenyew uendelee au laah, kwa mwezi inadepend me nalipa 6900
 
Sijawahi kuyapenda haya madude

Sent using infinix smart 5
 
Mkuu jibane bane hata siku kadhaa mfululizo ule mihogo ili ulipie hio app ya iphone 😁😁, Huku android hatuna habari za kulipia burudani ya m
Tuvitu kama hivyo inakuwa pesa iko kwa visa card huko. Wanachukua wenyewe
Ikiwa hivyo wala hata hukumbuki.. maisha yanaendelea kawaida kabisa
 
iPhone products ina thamani sn kwenye hardware quality,washa iPhone then chukua pixel or Samsung or techno linganisha.
Camera inakimbizana na most Chinese products and pixel.
Km simzuri wakubadikisha badilisha cm apple products performance kushuka ni nadra sn
 
Mimi natumia Samsung
1.Hakuna kitundu earphone za kawaida
2.Hakuna memory card
3.Siwezi kusikiliza radio bila bando
4.Hakuna notification ya taa kuwaka
5.Hakuna multiple uses account
7.Line ni moja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…