Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Unajua pasword zako za iCloud?Habari Wana jamvi la Jf naomba msaada kidogo kuitatua shida ya sim niliyo nayo apa kwa mwenye uzoefu sim hii nimesahau password wakufungulia screen hivyo kwa chochote nachoitaji kufanya katika sim haiwezi function isipokua mtu akinipigia napokea kama Kawaida iphone 7plus ni hivo tu kama haiwezekani mnielekeze wapi Pana fundi mzuri wakuweza fungua sim hii maana najaribu kubofya kitufe hiki pia ili niombe maelekezo naona akionyeshi ishara yoyote kua sauti imepokelewa
Habari Wana jamvi la Jf naomba msaada kidogo kuitatua shida ya sim niliyo nayo apa kwa mwenye uzoefu sim hii nimesahau password wakufungulia screen hivyo kwa chochote nachoitaji kufanya katika sim haiwezi function isipokua mtu akinipigia napokea kama Kawaida iphone 7plus ni hivo tu kama haiwezekani mnielekeze wapi Pana fundi mzuri wakuweza fungua sim hii maana najaribu kubofya kitufe hiki pia ili niombe maelekezo naona akionyeshi ishara yoyote kua sauti imepokelewa
Simu ni yako kweli mkuu?? Kama ndio nenda kkoo ila ndo utapoteza kila kitu kilichomo humo!!! icloud yako password unakumbuka? Duh ata iyo inclaud pia siikumbuki pia chief
Sasa kkoo maeneo gani chiefSimu ni yako kweli mkuu?? Kama ndio nenda kkoo ila ndo utapoteza kila kitu kilichomo humo!!! icloud yako password unakumbuka?
Hpn kwaufupi ni Dogo alikuepo shule sasa kasahau kila kitu nishamuuliza vyote hivyo sasa Sina uzoefu na sim hiziUnajua pasword zako za iCloud?
Ndio chiefUnaita mafundi Ujenzi waje wakupe ushauri kuhusu matatizo ya simu yako. [emoji39][emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kariakoo mitaa ipi iyo mkuuIpeleke kariakoo
Unanitisha kwaiyo niendelee kupokelea tuYaaan hyo ndo basi tena kaitupe tu mzee!😀😀
Good question km anaifahamu au la anaweza recover password through email as well au namba ya simu aliojiungia iCloud ukiwa huna vyote hivyo basi andaa document zako ulizonunulia then tumia simu/computer ya mtu mwingine ongea na apple support they can help you ila kikubwa ni uthibitisho wa kua ww ndio owner otherwise hawatakusaidiaUnajua pasword zako za iCloud?
Ya kkt paleeKariakoo mitaa ipi iyo mkuu
Ok asante chiefYa kkt palee
Nawashukuru wote kwa ushirikiano waaelekezo yenu nimefanikisha jambo langu sim imepona tyr🙏Mungu awa bariki sanaHabari Wana jamvi la Jf naomba msaada kidogo kuitatua shida ya sim niliyo nayo apa kwa mwenye uzoefu sim hii nimesahau password wakufungulia screen hivyo kwa chochote nachoitaji kufanya katika sim haiwezi function isipokua mtu akinipigia napokea kama Kawaida iphone 7plus ni hivo tu kama haiwezekani mnielekeze wapi Pana fundi mzuri wakuweza fungua sim hii maana najaribu kubofya kitufe hiki pia ili niombe maelekezo naona akionyeshi ishara yoyote kua sauti imepokelewa