Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Kwenye Iphone hivyo vyote ulivyotaja havizingatiwi, kinachozingatiwa ni idadi ya macho!iPhone vs Samsung! ⚔️
Unapochagua simu, unazingatia nini zaidi? Ubora wa Camera, muundo, kasi, betri, au Operating system?
😂 Kwahiyo siku hizi wanaangalia simu Ina macho mangapi?Kwenye Iphone hivyo vyote ulivyotaja havizingatiwi, kinachozingatiwa ni idadi ya macho!
😂Watu wa iPhone mnakosa vitu vingi aise kwanini ulimkimbia android?Mimi natumia iPhone ila sijazingatia chochote kwa kweli. Niliona sasa ni muda nihame kwenye android nijaribu na huku.
Sina hata sababu. Niliona tu ngoja na mimi nihamie huku😂Watu wa iPhone mnakosa vitu vingi aise kwanini ulimkimbia android?
Rudi kwenye Android tafadhaliSina hata sababu. Niliona tu ngoja na mimi nihamie huku
Android ina nini cha ziada kinachokosekana kwenye Ios?Rudi kwenye Android tafadhali
Umeona eeh!Mimi natumia iPhone ila sijazingatia chochote kwa kweli. Niliona sasa ni muda nihame kwenye android nijaribu na huku.
iPhone ni ya kike na Samsung ya Kiume, usiponielewa ndio basi tena walitupa ada bure.Habari wadau!
Leo tunazungumzia mjadala usioisha – iPhone vs Samsung! ⚔️
Unapochagua simu, unazingatia nini zaidi? Ubora wa Camera, muundo, kasi, betri, au Operating system?
iPhone: iPhone inajulikana kwa operating system iOS, Security, na muunganiko mzuri na vifaa vingine vya Apple.
Samsung: Samsung inajulikana kwa uhuru wa Android, teknolojia ya screen kali, betri kubwa, na Camera zenye zoom kali.
Wewe unatumia ipi kati ya hizi mbili? iPhone au Samsung? Na kwa nini? Tuachie maoni yako hapa chini! ⬇️🔥
SamsungHabari wadau!

😂😂😂iPhone ni ya kike na Samsung ya Kiume, usiponielewa ndio basi tena walitupa ada bure.
Samsung S24 🔥🔥🔥Samsung