urio emmanuel 92
Senior Member
- Jul 20, 2020
- 112
- 34
Picha zaidiNauza Iphone x ulotumika ila kama mpya haina michubuko wala mpasuko wowote haina kipengele wala matawi
Fingerprint [emoji818]
Betry health 100[emoji818]
Storage 256
Software version 14.5
Beiβ’ 1,150, 000 TshsView attachment 1635398
Ipo vizuriPicha zaidiView attachment 1635399
Kho!kwa mbaaali imefanana na iPhone 5....
Hiyo ndio cm inayouzwa kama upo serious njoo kagua ukikuta haifanani na hiyo acha usinunue kwani wazungu hawauzi cm?Weka picha halisi Acha kuweka picha za wazungu
Everthing working perfectFace ID inafanya kazi?
Anamaanisha iosiyo software ya 14.5 umetoa wapi
Anamaanisha ios
Tusubiri aje ajibuNdio nauliza kaitoa wapi io IOS 14.5
Tusubiri aje ajibu
WorksEverthing working perfect View attachment 1635415