Chifunanga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 290
- 100
kudadeki, ila hamna noma ntasubiri wachina waje na software ya kuhide
ni latest edition ya simu za iphone series made by apple companyiPhone 4 ni nini naomba maelezo zaidi waheshimiwa.
makin toshni latest edition ya simu za iphone series made by apple company
makin tosh
Mkuu hebu nipo dondoo za ziada kuhusu huo mtambo. Una uwezo gbmi hasa ukbwa wa memory card manake nahisi hapo hakuna kuweka za kichina. Vp bei yake ikoje hiyo. Plz nipe data manake imenihamasisha sana.Mkuu, Inkoskaz yuko sahihi. Kwanza nikurekebishe hapa, siyo makin tosh ni Macintosh.
Apple company ndilo lenye kutengeneza Computer za Macintosh, pia wanatengeneza iPad, iPod na iPhone. Wanatumia soft ware zao mbalimbali zikiwemo mac OS, iLife na iTune.
Sasa, iPhone 4 ni kweli ipo ktk iPhone series.
Mkuu hebu nipo dondoo za ziada kuhusu huo mtambo. Una uwezo gbmi hasa ukbwa wa memory card manake nahisi hapo hakuna kuweka za kichina. Vp bei yake ikoje hiyo. Plz nipe data manake imenihamasisha sana.