iPhone yangu siielewi

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
28
Wakuu naomba msaada wenu tafadhali.iPhone yangu ni model MB489B,nimetafuta video camera lakini nimekosa,je ni ushamba wangu,au mchina kafanya vitu vyake?Kama kuna mwenye kuijua tafadhali anisaidie wakuu
 
Sijakuelewa mkuu
 
yani modeli hyo umeipata wapi mkuu iphone kuna 2g, inakuwa rangi ya silver na kifuniko cheuc chini kabisa nxuma alafu kuna 3g ni nyeuc kuna 4g ni za silver ss fafanua yakwako ni org au mchina mana mchina kafetua kutofautisha unaitaji neema yakipekee mana kila cku wanalizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…