iphone!

ldd

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
790
Reaction score
128
wht up jf!? poleni kwa kazi, npo mapumzkoni hapa chuga, nmekutana na mutoto nyeupe kama muzungu, nme-spend nae km cku 3 ivi, ana cm yake ya mchina anaizima kusudi pindi cpo nae, 2kikutana anaxema cm inamzngua anataka iphone kama yangu!!! kwa xku 3 tu wadau nionge iphone?!? labda nayo iwe mchina au xio!
 
Kwa hyo umedhamiria kuhonga sio?
 
Sasa unataka ushauri gani wakati mwenyewe unaonekana hutaki/huwezi honga hiyo Aifoni?
Tukuchangie?
 
Cku tatu keshataka iphone!!!!!! hiyo hatari ukispend naye mwezi atataka roho yako, manake utakuwa tayari ushampa kuanzia love foooo mpaka nanihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kama vipi mpe tu!!!! kwani bei gani? ila mimi hii ninayoitumia siwezi!!!!!!!
 
teheteheteeteereeheeheeheeheeee jf is never boring..
 
Uzuri ukimnunulia iphone utatawala pia miondoko yake. Kwa njia ya apps utaweza kujua yuko wapi au kwa siku kadhaa huko nyuma alitembelea wapi. Ukiwa na wivu mpatie iphone: itamfaa na itakufaa na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…