Nasikitika
Member
- Sep 11, 2021
- 22
- 16
Nasikitika endelea kusikitika hivyo hivyoYaan naumia sana kwa sisi wavulana/wanaume kuona wadada zetu hawawezi kujitegemea mpaka now tuna wadharirisha mitandaoni π ili sio vizur na aileti picha nzuri katika jamii serious.
Please tuache hii tabia. Na pia wakina dada msijirahisishe sana ni ushauri tu. Note ushauri unaweza kuhufata au unaachana nao ni maana ni ushauri tuh..
Juzi kuna mmoja aliniambia anajichanga anunue iPhone na mimi nimuongezee kiasi cha pesa nikakwambia aende kwa baba yakeYaan naumia sana kwa sisi wavulana/wanaume kuona wadada zetu hawawezi kujitegemea mpaka now tuna wadharirisha mitandaoni [emoji24] ili sio vizur na aileti picha nzuri katika jamii serious.
Please tuache hii tabia. Na pia wakina dada msijirahisishe sana ni ushauri tu. Note ushauri unaweza kuhufata au unaachana nao ni maana ni ushauri tuh..
Hauwezi kuleta mabadiliko kwa uandishi huuYaan naumia sana kwa sisi wavulana/wanaume kuona wadada zetu hawawezi kujitegemea mpaka now tuna wadharirisha mitandaoni π ili sio vizur na aileti picha nzuri katika jamii serious.
Please tuache hii tabia. Na pia wakina dada msijirahisishe sana ni ushauri tu. Note ushauri unaweza kuhufata au unaachana nao ni maana ni ushauri tuh..
Daah Dunia ipo mwisho ndugu zangu na life is too short tufanye matendo mema tubu kabla haujasaliwa!!Kuna mwingine mahux anssoma chuo x bagamoyo kaliwa kwa mparange wiki nzima lodge kwa madai ya kupewa iphone 12 ,cha ajabu jamaa kamkabidhi simu ipromax 12 ya kichina yenye android ...jamaa kazima na cm kapotea demu mpk sasa hana hamu kbs ,yupo yupo tu ,Tamaa zinawapeleka kubaya sana
sent from HUAWEI
[emoji16][emoji16][emoji16]ndio dawa ya wajingaJuzi kuna mmoja aliniambia anajichanga anunue iPhone na mimi nimuongezee kiasi cha pesa nikakwambia aende kwa baba yake
πππ[emoji16][emoji16][emoji16]ndio dawa ya wajinga
Naomba no ya huyo dadaKuna mwingine mahux anssoma chuo x bagamoyo kaliwa kwa mparange wiki nzima lodge kwa madai ya kupewa iphone 12 ,cha ajabu jamaa kamkabidhi simu ipromax 12 ya kichina yenye android ...jamaa kazima na cm kapotea demu mpk sasa hana hamu kbs ,yupo yupo tu ,Tamaa zinawapeleka kubaya sana
sent from HUAWEI
ππNaomba no ya huyo dada