heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Piga window hiyoo [emoji1][emoji1]Wakuu
Nina iphone six plus ila ukiweka chip inaandika no service, ktk setting network inaandika not available
Carrier pia not available
How can iPiga window hiyoo [emoji1][emoji1]
Kama kiasi gani ,hakika maana ni no servive tunenda kwa fundi wa software...utakesha apo ...ingawa ina garama kidogo iyo huduma
Inawezekana slot ya Sim card ina tatizo kamuone fundi.Wakuu
Nina iphone six plus ila ukiweka chip inaandika no service, ktk setting network inaandika not available
Carrier pia not available
Great maana hata kuichomoa sio na pini bali hata kucha ile lock yake imekufaInawezekana slot ya Sim card ina tatizo kamuone fundi.
Wakuu
Nina iphone six plus ila ukiweka chip inaandika no service, ktk setting network inaandika not available
Carrier pia not available
Nirudi oppo naona hi uduanziNunua simu boss hizo mambo zikianza utaumiza kichwa sana.
Kauze spea tafuta kitu kipya uishi bila stress
Kama tatizo ni tray basi ingeandika no sim card, ila kama inaandika no service basi hapo sim card ina detect ila network hakuna. Waone mafundiGreat maana hata kuichomoa sio na pini bali hata kucha ile lock yake imekufa
Yes sure inasoma ila network haipokei itakuwa shida ktl receiverKama tatizo ni tray basi ingeandika no sim card, ila kama inaandika no service basi hapo sim card ina detect ila network hakuna. Waone mafundi
Yes sure inasoma ila network haipokei itakuwa shida ktl receiver
Great maana hata ile lock yake imekufaHapanaa! Sio lazimaa iandike no simcard hata no service pia inaandika. Simcard huenda imepindaa, au umelazimisha kutoaa terminal zimekatikaa. Inabidi uende kwa fundi aifungue afyatuee lock kwa ndanii
Great maana hata ile lock yake imekufa
Hiyo inakua ni IC ya network nenda kwa fundi haswa au reball anaitoa anaisafisha na kurudishia