Kma ilivyo hapo juu,mziki wetu wa kizazi kipya ulianza ku~hit miaka kma ya 95 na ushehe?,album ipi kwako ilikuwa bora,yaaan ukisikiliza ktk hizo nyimbo hupendi kupeleka mbele,mm miongoni album nilizo zipenda kutoka kwa hawa wasaniii
1:afande
2;mb dog
3,nature
????????????^^^^^^^^?????????weka zako