Habari wakuu. Naomba mwenye kujua anijuze ni ipi bia ya asili (local beer) ambayo iko packaged kwenye chupa na ina ladha nzuri. Naijua Chibuku tu lakini kwa mikoani naona imeshindwa kupata soko. Nina visehemu vya biashara ya kinywaji maeneo ya watu wa kipato kidogo naangalia product ya nzuri ya bei ya chini. Nimesikia kitu inaitwa Zabanga huko kanda ya ziwa ila sijawahi kuijaribu. Mimi Niko kanda ya kaskazini. Mwenye details zingine tafadhali. Ahsanteni