Huu ni mvinyo au beer? Nijuavyo Mimi beer hutengenezwa kwa nafaka, au?Banana
Kuna bar Fulani Arusha walikuwa wanauza ila kwa sasa hakunaChibuku uliiona wapi wakati sisi hapa mjini tuna miaka miwili hatujaiona? Siku hizi vijana wanapiga double kick mbadala wa kiroba chapa jogoo.
Hizo zinataka mtu ule vizuri vinginevyo ni hatariSis ni double kick tu!!!!!