Developer_tz
Member
- May 16, 2023
- 91
- 140
Salaam Wakuu!!
Ni muda wa kuweka vyeti kabatini na kuamua kuchakalika Sasa katika Elimu niliyopewa ni kuanzisha Biashara unique..Na kuanzisha Biashara unique ni changamoto.
Mimi mkazi wa Mwanza nimefanya Tafiti nikagundua Biashara ya supu ya pweza ni adimu sana na hii ni kwasababu ya usafirishaji sasa nikawa na option kama tatu hivi.
Kwa anaejua au Ushauri wa Hii biashara ya supu ya pweza nawezaje kupata mzigo from Dsm to Mwanza
Ikishindikana kuna option nyingine ya kuchoma nyama ya kuku. Na kuongeza vitafunwa kama chapati n.k kwahiyo naomba ushauri ipi Itafaa kati ya hizi
1.Biashara ya supu ya pweza
2.Biashara ya kukaanga kuku
Mtaji:250k(Laki mbili na nusu)
Meza jiko vyote vipo
Location
Mwanza mainly Nyegezi stand
.Wasakatonge
Kazi iendelee
Ahsante