Ipi bora elimu ya TANZANIA au elimu ya Ulaya- NGAZI YA CHUO KIKUU

ogm12000

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
304
Reaction score
86
Kumekuwa na kasumba ya wa Tanzania kusema elimu ya nje ni rahisi kulingalisha ya TZ. Je ubora means ugumu?. Kwa kufungua mada ningependa kuongelea elimu ya Engineering. Navyofahamu mimi wezetu wa nje hasa hasa ulaya ya magharibi wameendelea sana katika technologia kitu ambacho kinafanya elimu wanaitoa iendane na technologia yao. I mean wako vizuri katika theory na technologia pia. Vile vile kipimo cha uelewa wa mwanafunzi kimebase kwenye course work rather than exams. Elimu ya TZ imelenga kumpima mtu kumbukumbu na sio uelewa kitu ambacho kina punguza creativity. Vile vile hii pelekea watu kumeza na si kuelewa.
Kama unaamini elimu ya TZ ni bora zaidi mbona tuna tunategemea ma senior engineers (experts) kutoka China, US and UK. Hasa pale unapohitajika ujuzi wa ziada?.

Kama unaamini elimu ya nje ni nzuri zaidi, je nini kifanyike ili kukuza ubora??. Let me make it short then tutaendelea kujadiliana
 
Mtu aliyesomea nje ya nchi anaweza akawa na advantage in terms of creativity na modern skills.
Hata hivyo unaposema nje inategemea na nchi. Kama nje yenyewe ni hapo hapo East Africa ama Africa I don't buy that sababu kuna baadhi ya vyuo hapo Africa elimu yake inalingana na ya bongo ama ya bongo bado iko juu.
Binafsi baada ya kupata elimu yangu US, naifagilia jinsi Americans wanavyofundisha, wanavyokuandaa na soko la ajira, ushindani na kukusaidia hadi hata ukiwa umeshamaliza shule.
 
Back
Top Bottom