I think vina tofauti. Roll-on deodorant inaondoa harufu ya jasho na ni ya kupaka sehemu zinazovuja jasho tu, haina harufu kali bali inakata harufu ya mwili. Body spray ni mwili kwa ujumla unatumia kunukia sawa, hii ukipita kwa mtu anasema unanukia hiki au kile. Perfume hizo hata kwenye nguo na begi. Mambo ya fragrance wanapenda Wafaransa zaidi na Waitaliano