YoungCorporate
JF-Expert Member
- Apr 30, 2010
- 391
- 114
Mitsubishi usiguse unaweza ukaepuka matumizi ya mafuta lakini spare parts hazishikiki ni bei juu sana ukilinganisha na magari mengine ya kawaida
Mitsubishi usiguse unaweza ukaepuka matumizi ya mafuta lakini spare parts hazishikiki ni bei juu sana ukilinganisha na magari mengine ya kawaida
Waswahili husema mchagua nazi huibukia.....Sasa nahitaji kijiusafiri kwa misele ya hapa na pale. Kutokana usawa wa mafuta machaguoa yangu yameangukia huku kwenye Toyota IST, Carina TI my road (cc 1500), Corolla Sedan na Mitsubishi colt. Mwenye uzoefu naomba anipatie insights kidogo kati ya gari izi ipi bora kwa nyanja zote....
Kweli kabisa bora Toyota kuliko kupata tabu ya spares(ushauri bora huo ndugu)
sasa naona unataka kuanza mazoezi ya formula-01... HAYA SI MAGARI YA MASHINDANO KWELI?... MIE SEIELEWI BANA NGOJA WATAALAMU WAKUSHAURI ZAIDI.... MAANA NASIKIA STORY KIJIWENI ETI YANATUMIAGA JET FUEL SASA SIJUI UTANUNUA WAPI MAFUTAwakuu vipi kuhusu subaru forester 2.0 ccnataka kuangukia je inafaa?
Mitsubishi usiguse unaweza ukaepuka matumizi ya mafuta lakini spare parts hazishikiki ni bei juu sana ukilinganisha na magari mengine ya kawaida
wakuu vipi kuhusu subaru forester 2.0 cc
nataka kuangukia je inafaa?