ipi bora kati ya kupitia technical college au kwenda advance?

We unaeponda pcm ni kiazi hyo ndo best combination na Unasoma coz nyngi sana karb zote chuon xcept za afya km MD lakn takataka zote from bcom to engineering km Unahisi uko vizuri go for u will never regrect. Ila ni kuumia kiukweli ili uchomoke km uwezo hamna utazngua. Advance ndo shortest route kupata degree kuliko hvyo vyuo. Ukianza na diploma degree itakusumbua sana na believe me utakuja kuihitaji tu degree baadae ndo kaz itaanzia hapo lkn km uwezo wako ni wa kawaida go for it usijekosa vyote
 

So kweli
 

Sio kweli kwamba lazima usome kitu hichohicho kwenye ngazi ya digrii unaweza badili angalia vizur kitabu cha tcu
 
Kwa kifupi:endelea na Advanced Level.Zingatia ushauri huu kijana....
 

Acha urongo mkuu...bora ungepiga kimya tu
 

Mkuu upo nchi gan...?
 
Acha dharau kijana hiyo combination ni nzuri sana sema tu labda hesabu imekuletea noma ndio maana unaiogopa, comnibation ni nzuri ial inahitaji self discipline otherwise wanakula kichwa
Sionagi faida ya mtu kwenda kusoma pcm advance labda kwa combinations nyingine
 

We bwana unaniacha hoi. Yaani kila mtu awe na first class undergraduate level? Na jee, katika darasa moja lenye.wanafunz mathalan 40, wote watakuwa first class? Je second class hawana chao? Lakini in real life, hicho ulichosema ni nadharia au ndo halisi?
 

Hapana sisemi kila mmoja apate first class! Not at all and this is impossible! What I am saying is, with good passes one is most likely to get employed. Employment zipo, ila chache, therefore highly competitive on the basis of credentials. Sasa unafanyaje katika hali hiyo? Afadhali kwenda ufundi, ukapata kazi/kujiajiri then ukaenda university baadaye if by that time there would be a need anyway! Nadhani unaikumbuka philosophy ya Plato with regard to social stratification/placement- Golden boys-rulers (1st class); bronze boys (second class)- work for the state (white collar jobs; Iron boys (third class)- solders to guard the rulers/state. Mimi na wewe tuko wapi hapo? Kama tupo third class twende ufundi!
 
Acha dharau kijana hiyo combination ni nzuri sana sema tu labda hesabu imekuletea noma ndio maana unaiogopa, comnibation ni nzuri ial inahitaji self discipline otherwise wanakula kichwa

Sijajua dharau yangu iko wapi mkuu...alafu unijui izo argument za kuzinguliwa na hesabu sijui umetoa wapi...by the way zakuambiwa changanya nazako
 
Umesema hapo juu huonagi umuhimu wa mtu kusoma PCM advance sasa vyuo vyenye kozi za Engineering, Electronics, masomo kama ya science watapataje wanafunzi na je taifa litatoa wapi hao wataalamu wa hizo nyanja, taita linahitaji kila mtaalamu kwahiyo lazima kuna wanaotakiwa wasome PCM pia kama hujui hiyo combinataion let say kama UDSM inaruhusiwa kusoma kozi nyingi sana almost kama sikosei half the degree courses kama una PCM na umefaulu vizuri unaruhusiwa kusoma, nilisikia kipindi fulani hata degree ya Pharmacy kwa PCM unaweza ruhusiwa ila sina uhakika lakini ni combination nzuri sana huwezi kosa admission na ina uwanja mkubwa kuchagua usome nini. Ni maoni binafsi

Sijajua dharau yangu iko wapi mkuu...alafu unijui izo argument za kuzinguliwa na hesabu sijui umetoa wapi...by the way zakuambiwa changanya nazako
 

Sawa mkuu kwa kua umesema ni maoni yako binafsi isiwe kesi...enjoy your pcm ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…