Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama za kuhamisha blog je kutoka bloggerWordPress ni bora kuliko blogger kwenye kila kitu, kwa uchache
1. Kwenye blogger vitu vingi unafanya manually (lazima ujue kueedit theme html) ila kwenye wordpress unatumia plugins.
2. Blogger sio SEO friendly hasa kwenye post formatting (vitu kama headings, paragraphs, Divs, spans etc), url structure, etc. ila WordPress ni SEO friendly kwenye kila kitu.
3.Blogger ina limited customisation hivyo inahitaji uwe na ujuzi wa hali ya juu kufanya blog yako iwe na features nyingi, ila WordPress ni flexible.
4. Mambo ni mengi kwa kweli, mm ni mvivu wa kuandika
Uzuri wa blogger ni kuwa haina gharama za hosting, so ni bora kwa mtu anaeanza blogging.
Kama una domain Gharama ni ununue hosting tu. Hakuna gharama nyingine. Hosting rahisi unaweza ukapata kwa tsh.50,000/yGharama za kuhamisha blog je kutoka blogger
Duuh! Domain ninayo ila bora nitumie hii bloggerKama una domain Gharama ni ununue hosting tu. Hakuna gharama nyingine. Hosting rahisi unaweza ukapata kwa tsh.50,000/y
Ila kama bado unatumia blogspot domain, itabid ununue domain + hosting
Ambapo domain haizidi 30,000 /y+ hosting 50,000 jumla 80,000.
kwa hiyo gharama za kuhama blogger kwenda wordpress ni chini ya 100,000.