WordPress ni bora kuliko blogger kwenye kila kitu, kwa uchache
1. Kwenye blogger vitu vingi unafanya manually (lazima ujue kueedit theme html) ila kwenye wordpress unatumia plugins.
2. Blogger sio SEO friendly hasa kwenye post formatting (vitu kama headings, paragraphs, Divs, spans etc), url structure, etc. ila WordPress ni SEO friendly kwenye kila kitu.
3.Blogger ina limited customisation hivyo inahitaji uwe na ujuzi wa hali ya juu kufanya blog yako iwe na features nyingi, ila WordPress ni flexible.
4. Mambo ni mengi kwa kweli, mm ni mvivu wa kuandika
Uzuri wa blogger ni kuwa haina gharama za hosting, so ni bora kwa mtu anaeanza blogging.