Ipi bora...kuonja au kukosa kabisa.......


bora kuacha na kukaa mbali
 
If u are a risk taker and you want to increase your portfolio on conquests - go for it, but that also means you do not have character...why would one enter into an affair ya aina hiyo and you know the outcome(unless u r in denial). Kuna mambo 3 naogopa maishani...Mwenyezi Mungu, Serikali na Mke/Mme wa mtu.
 
labda kwa kuwa wewe ni askofu unaweza usielewe..
Kwa wengine mapenzi ni upofu....bila kujali ni mke wa mtu au mume wa mtu....

Kabisa...na ndoa za waliomo kwenye ndoa zimeshavunjika mara nyingi tu ili waweze kuendelea na penzi lao.
 
Sio kuonja, we kula kabisa na kama unajua itakuwa ya mda mfupi, kula hadi ikinai...
 
Hivi unapovutiwa na mwanamke na kumtongoza.... unakuwa na Malengo gani??? Hao wa kwenye ndoa wanaotongozwa/kutongoza na wakakubaliana il hali mmoja au wote wako kwenye ndoa... wanakuwa na malengo gani??

Wanaonjana hao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…