kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 789
Wale wajuzi wa mambo natamani kununua moja ya tv hizo tajwa hapo juu ila sijui maana ya hzo terms kati smart na 4k naomba kueleweshwa matumizi ya hizo technologia, na nahitaji kununua brand hyo ya Lg inchi 43.
Asanteni
Kama nitakuwa nimekosea jukwaa mniwie radhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asanteni
Kama nitakuwa nimekosea jukwaa mniwie radhi.
Sent using Jamii Forums mobile app